Habari za Punde

Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mara alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),[Picha na Ikulu.] 29 /10 /2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe,Vuai Ali.Vuai
Wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho,Mwenyekiti wake akiwa    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kikao hicho  kimefanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja

Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho cha siku moja kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.