Jengo la Madrasatul Ihsan ilioko katika Kata ya Bwaga Inahitaji Msaada wako kumalizia Ujenzi huu kuweza kutoa Elimu ya Dini kwa Watoto wa Kiislam.
Assalaam alaikum, Tafadhali ,Uongozi wa Madrasat IHSAN iliyoko Kata ya bwanga ,Wilaya ya Chato ,Mkoa wa Geita unaomba msaada wa Mabati ya kuezekea Vyumba vya madrasa
Na kwa mawasiliano zaidi piga 0759913148/0688005513. Utaongea na Mr. Nasibu Yasini Butoki.
Allah akulipe kheri.
No comments:
Post a Comment