Habari za Punde

Makamu wa Rais Mh.Samia: “Serikali itaendelea kuwalinda Wanasayansi watafiti wa ndani na nje


dsc_2081Meza kuu ikifuatilia tuko hilo la ufunguzi: Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan (Wa pili kulia)  akifuatiwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla.  Kushoto ni Dk. Honorati Masanja kutoka taasisi ya Utafiti ya Ifakara na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela
dsc_2085Tukio likiendelea
dsc_2073Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akikabidhi ngao kwa mmoja wa wadhamini wa kongamano hilo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela
dsc_2101Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wanahabari (Hawapo pichani) muda mfupi baada ya ufunguzi wa kongamano hilo
dsc_2122Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akizungumza na wanahabari (Hawapo pichani) muda mfupi baada ya ufunguzi wa kongamano hilo.
//

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.