Habari za Punde

Mkutano wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Unaofanyika Zanzibar.

Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Daniel F Kidega akiingia katika ukumbi wa Bunge akiongozwa na Askari akiwa amebeba siwa. likiendelea  Kikao chake katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki akisoa dua kabla ya kuaza kwa Mkutano huo kuwasilishwa Ripoti ya Udhibiti wa Usafirishaji wa Binaadamu katika Nchi za Afrika Mashariki inayowakilishwa na Mbenge wa Bunge hilo kutoka Zanzibar Mhe Maryam Ussi Yahya.  
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa wamesimawa wakiuomba dua kabla ya kuaza kwa Kikoa hicho cha Bunge.
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa wamesimawa wakiuomba dua kabla ya kuaza kwa Kikoa hicho cha Bunge.
Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jumuiya yas Afrika Mashariki akiongoza Bunge hilo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar likifanya mkutano wake. akiwatambulisha wageni waalikwa kwa Wabunge. 
Waheshimiwa wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika Ukumbu wa Mkutano.  
Mbunge wa Bunge ,la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Zanzibar Mhe Maryam Ussi Yahya akiwasilisha Ripoti ya Kamati ya Kudhibiti Usafirishaji wa Binaadamu Katika Nchi za Afrika Mashariki, wakati wa mkutano wake wa wiki mbili unaofanyika Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza las Wawakilishi Chukwani. akisoma kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Peter Mathuki kutoka Kenya.  
Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifuatilia ripoti hiyo wakati ikiwasilishwa katika Mkutano huo unaofanyika Zanzibar katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi chukwani Zanzibar.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Maigge akifuatilia Ripoti hiyo wakati ikiwasilishwa katika Mkutano huo wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Wabunge wakiwa makini wakifuatilia ripoti hiyo wakati ikiwasilishwa katika Mkutano huo wa Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika Zanzibar.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania Mhe Makongoro Nyerere akiwa kastika ukumbi wa Bunge akifuatilia ripoti hiyo wakati ikiwasilishwa na Mjumbe wa Kamati hiyo Mhe Maryam Ussi Yahya. kutoka Zanzibar.
Wabunge wakifuatilia Ripoti hiyo wakati ikiwasilishwa.
Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Rwanda Mhe. Martin Ngoga akichangia ripoti hiyo baada ya kuwasilishwa katika mkutano huo wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki na katika mkutano wake unaofanyika Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani.  
Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Nchini Kenya Mhe Nancy Abisai akichangia ripoti hiyo. ya kudhibiti Usafirishaji wa Binaadamu kwa Nchi za Afrika Mashariki.
Mhe Ezabel Ndahayo kutoka Nchini Burundi akichangia Ripoti hiyo.
Mhe Odette Nyirahaminimo kutoka Nchini Rwanda akichangia Ripoti biyo baada ya kuwasilishwa katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalofanyika Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashari kutoka Kenya Mhe. Zein Abubakar akichangia ripoti hiyo.
Mhe Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Nchini Uganda Dora Byamukama akichangia bunge hilo.
Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Uganda Mhe Chris Opoka akichangia ripoti hiyo baada ya kuwasilishwa kwa kujadiliwa kwa michango ya Wabunge.
Mbunge kutoka Nchini Rwanda Mhe Valerie Nyirahabineza akichangia ripoti hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.