Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein, Atembelea Eneo la Uwanja wa Ndege Lililotengwa kwa Ajili ya Kujengwa Ofisi za Zimamoto.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Idara ya Zima Moto Zanzibar Ali Abdalla Malimosi(kushoto) wakati alipotembelea eneo lililotengwa kujengwa Ofisi ya Ziama Moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume jana,pia Rais ametoa agizo la   miezi miwili kumalizika kwa ujenzi wa Ofisi hiyo,(kulia)Kaimu Mkurugenzi Mkuu,pia Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Nd,Juma Saleh [Picha na Ikulu.]05/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wakati alipotembelea eneo lililotengwa kujengwa Ofisi ya Ziama Moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume jana,akiwa katika ziara maalum ambapo   ametoa agizo la   miezi miwili kumalizika kwa ujenzi wa Ofisi za Zimamoto kwa Uongozi wa Idara hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu,pia Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Nd,Juma Saleh (katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Haji Omar Kheir(kushoto)  jana alipotembelea Kituo cha Idara ya Zimamoto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa katika ziara maalum pamoja na kuangalia  eneo lililotengwa kujengwa Ofisi ya ZimaMoto katika Uwanja huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto)  akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Idara ya Zima Moto Zanzibar Ali Abdalla Malimosi(katikati) wakati alipotembelea eneo lililotengwa kujengwa Ofisi ya Zima Moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume jana,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.