Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Afungua Hospitali Mpya ya Abdalla Mzee Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing wakikata utepe kuizindua Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,iliyojengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd. Uzinduzi huo umefanyika leo Wilaya ya Mkoani Pemba. Kisiwani, 26-11-2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Alipotembelea Chumba cgdhi mbali mbali ali Iddi wakati akitembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi  leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiangalia mashine za kuchunguzia maradhi mbalimbali wakati alipotembelea Chumba cha Maabara katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi  leo akiwa na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (katikati) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo,ambayo imejengwa na  Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipaa maelezo kutoka kwa Dk.Mariuma Abdalla Salum (kushoto)alipotembelea katika wodi ya wazazi baada ua kuizindua leo,ambayo imejengwa na  Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd,(katikati) balozi wa China Nchini Tanzania Lu Younqing,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.