Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Zenj Flava na Bongo Flava Uwanja wa Amaan Timu hizi Zimetoka Sare ya Bao 1--1.

Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Mhe Abdalla Diwani akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Zenj Flava wakati wa mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Bongo Flava uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Mhe Abdalla Diwani akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Bongo Flava wakati wa mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Bongo Flava uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Wachezaji wa Timu ya Zenj Flava wakisalimiana na wachezaji wa Timu ya Bongo Flava kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika usiku uwanja wa amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Kikosi cha Timu ya Zenj Flava kilichoumana na Timu ya Bongo Flava katika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Kikosi cha Timu ya Bongo Flava kilichoumana na Timu ya Zenj Flava katika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Waamuzi wa Mchezo wa kirafii kati Zenj Flava na Bongo Flava. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.