Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Castle MC ni msanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Ameachia wimbo mpa uitwao "Nimerudia" akimshirikisha H.Criss. Wimbo umetengenezwa na producer Day Dream kutoka studio za Over The Classic Music Jijini Mwanza.
Wimbo unavutia kusikiliza na unatoa ujumbe wa watu wengi walio kwene mahusiano ambapo baada ya kutengana, mmoja hurudi na kutaka kufufua upya mahusiano.
ASANTENI WANA RUANGWA -MAJALIWA
-
WAZIRI Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025
ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya
ku...
No comments:
Post a Comment