Habari za Punde

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kabla ya Mechi ya leo.


  
                                            MSIMAMO LIGI KUU YA SOKA ZANZIBAR  (UNGUJA) 2016-2017
POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
JKU
14
11
3
-
24
6
18
36
2
JANG’OMBE
15
7
7
1
21
13
8
28
3
POLISI
15
7
6
2
19
8
11
27
4
ZIMAMOTO
15
7
6
2
20
12
8
27
5
TAIFA J/MBE
15
6
5
4
14
13
1
23
6
KMKM
15
6
3
6
18
11
7
21
7
MAFUNZO
15
6
3
6
20
15
5
21
8
KILIMANI CITY
15
6
3
6
13
20
-7
21
9
CHWAKA
14
5
5
4
12
12
-
20
10
MUNDU
14
6
2
6
15
24
-9
20
11
CHUONI  
15
4
7
4
13
12
1
19
12
B/ SAILOR
15
4
7
4
13
14
-1
19
13
KVZ
15
4
4
7
11
13
-2
16
14
MIEMBENI
15
4
4
7
12
18
-6
16
15
KIJICHI
15
3
5
7
14
17
-3
14
16
KIPANGA
14
4
2
8
14
17
-3
14
17
MALINDI
14
3
2
9
6
16
-10
11
18
KIMBUNGA
14
1
2
11
9
28
-19
5
Jumla ya mabao 268 yamefungwa kupitia michezo 131       
Leo hii kutakua na mchezo mmoja pekee kwenye uwanja wa Ngome, Fuoni kati ya Kipanga na Malindi huku mzunguko wa 15 ukikamilika kesho kwa Chwaka Stars kuumana na Mundu majira ya saa nane mchana uwanja wa Amaan na JKU kujaribu kwa Kimbunga saa kumi alasiri dimbani hapo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.