Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein, Mgeni Rasmin Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu Duniani leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika  sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi Zanzibar wakiongoza matembezi ya Taasisi mbali mbali zilizoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono vijana walioshiki matembezi katika  wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Vijana waliobeba bango linalotoa ujumbe usemao Siku ya Maadili na Haki za Binadamu”Imarisha  Utawala Bora kwa Kukuza Uadilifu,Uwajibikaji,Haki za Binadamu na Mapambano Zidi ya Rushwa”wakati wa  matembezi ya maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Vijana walioshiki matembezi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi hayo





Ngoma ya Kibati ikichezwa na kikundi cha Vijana Ngoma Group katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]10/12/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.