Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein,Atembelea Ujenzi wa Majengo Mapya ya Zimamoto Uwanja wa Ndege Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Kikoso cha Zima Moto Zanzibar Abdalla Malimosi wakati alipokuwa akiaangalia picha za magari mapya ya kikosi hicho yanayotarajiwa kuwasili hivi karibuni,wakati alipotembelea ujenzi wa majengo mapya ya kikkosi hicho leo huko katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Wilaya ya Magharibi "A"Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar na Uongozi wa Kikosi cha Zima Moto na Uokozi, wakati alipofika kutembelea ujenzi wa majengo mapya ya kikosi hicho leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Viwanja wa Ndege Zanzibar Abdulghani Himid Msoma wakati alipowasili katika Ofisi za Mamlaka hiyo akiwa katika ziara ya kutembelea majengo mapya ya kikosi Zima Moto na Uokozi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume huko Kisauni Wilaya ya Magharibi "A"Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi Mamlaka ya Viwanja wa Ndege Zanzibar na Uongozi wa Zima Moto na Uokozi  mara  alipowasili katika Ofisi za Mamlaka hiyo akiwa katika ziara ya kutembelea majengo mapya ya kikosi Zima Moto na Uokozi  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume huko Kisauni Wilaya ya Magharibi "A"Unguja leo,
Jengo hili kama linavyoonekwanwa baada ya kumalizika katika hatua za Ujenzi wake Kikosi cha Zimamoto na Uokozi   itakuwa ni Ofisi ya Kikosi hicho,  mbapo leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alitembelea kuangalia ujenzi unaoendelea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Abdalla Malimosi wakati  alipotembelea kituo kidogo kinachofayiwa matengenezo katika Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume   akiwa katika ziara maalum leo,(kushoto) Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Mohamed Ahmed Salum,(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.