Habari za Punde

Kamati ya Baraza la Wawakilishi Inayoshuhughulikia Viongozi Wakuu wa Kitaifa.

Mjumbe wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi inayoshulikia masuala ya Viongozi Wakuu wa Kitaifa Simai Mohamed Said (wa pili kulia) alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakati Ujumbe wa Kamati hiyo  walipotembelea Ofisi hapo Ikulu Mjini Unguja leo kuzungumzia utekelezaji wa masuala mbali mbali yanayohusu Ofisi hiyo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi inayoshulikia masuala ya Viongozi Wakuu wa Kitaifa Omar Seif Abeid akitoa maelekezo wa Watendaji wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo wakati ujumbe wa Kamati hiyo ulipokutana na watendaji hao ikulu Mjini Unguja kuzungumzia masuala mbali mbali ya kiutekelezaji (kushoto) Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.