Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika
Makhtar Diop wakwanza kulia wavivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu
ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji
la Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –TAMISEMI
George Simbachawene pamoja na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi
pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –TAMISEMI George Simbachawene na Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati Makamu wa Rais
wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop wakwanza (kulia) akivuta utepe
kuashiria Ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya
Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka kadi ya
Kieletroniki katika Mashine ya UDART ilikuweza kupita kama ishara ya Ufunguzi
rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo
Haraka katika jiji la Dar es Salaam. Pembeni yake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais –TAMISEMI George Simbachawene akimuelekeza jambo katika mashine hizo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa
Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop pamoja na viongozi wengine
wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na
Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipita kwenye mashine hizo mara baada ya uzinduzi wa Awamu
ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji
la Dar es Salaam.

John Pombe Magufuli akipunga mkono kwa wanahabari mara baada ya kuzindua utoaji
huo wa huduma ya usafiri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia mara baada ya kuendesha gari la Mwendo Kasi
katika kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Haraka (BRT) mara baada ya kufungua
rasmi Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka
katika jiji la Dar es Salaam.

John Pombe Magufuli akipungia mkono pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia
Kanda ya Afrika Makhtar Diop mara baada ya kutoka kukagua moja ya basi
linalotumika katika utoaji huduma ya Usafiri wa Haraka (BRT)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia
Kanda ya Afrika Makhtar Diop wakati Msanii Mrisho Mpoto alipokuwa akitumbuiza.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya
Afrika Makhtar Diop akimtunza msani Mrisho Mpoto wakati alipokuwa akitumbuiza
katika kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Haraka BRT-Kariakoo huku Rais Dkt.
Magufuli akifurahia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. Makhtar Diop kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. Makhtar Diop akiongea machache kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment