Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Akimsikiliza Mbunge wa Iramba Mashariki Viwanja vya Bunge Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(MB) akimsikiliza  Mbunge wa Iramba Mashariki Mheshimiwa Allan Kiula wakati walipo kutana katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Waziri Mkuu yupo Mkoani Dodoma katika kushiriki Mkutano wa Sita wa Bunge la Kumi na moja amabao umeanza leo Tarehe 31 January 2017

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.