Habari za Punde

Wedding Reception ya Bwa.Wasia Maya na Bi.Laila Katika Picha.

Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pata picha za tukio hilo hapa chini.
Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion
Bw. Wasia Maya na Bi. Laila Martin

Lovely couple 
Zion akiwa na Baba na Mama 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.