Balozi Seif kati kati akiwa na Waziri wa Ujenzi Balozi Ali Karume Kulia yake pamoja na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud kushoto yake na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd. Issa Sarboko Makarani wakilikagua jengo hilo mapema asubuhi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd. Issa Sarboko kushoto akimueleza Balozi Seif na baadhi ya Viongozi hatua iliyochukuliwa na Taasisi yake katika kulifanyia matengenezo makubwa Jengo Mashariki Palace Hoteli Restaurent liliopo Forodhani.
Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Serikali mara baada ya kulikagua jengo la Mashariki Hoteli Palace.
Balozi Seif akiagana na baadhi ya Viongozi mara baada ya ya kulikagua jengo la Mashariki Hoteli Palace.
Picha na – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment