NAIBU Waziri wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na
Mazingira Zanzibar Mhe:Juma Makungu Juma, akieleza jambo baada ya kupata
maelezo juu ya hali ya upachikaji wa waya za umeme katika nguzo huko katika
Kisiwa Cha Fundo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha Na ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Wilaya ya Wete,
Wakiongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira
Zanzibar Mhe:Juma Makungu Juma,wakikagua kazi za Uganishwaji wa Umeme katika
baadhi ya Nguzo huko katika Kisiwa Cha Fundo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba.(Picha Na ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
MAFUNDI wa Shirika la Umeme Zanzibar ZECO Tawi la
Pemba, wakiendelea na harakati za kupachika waya za Umeme katika baadhi ya
Nguzo zilizoko katika Kisiwa Cha Fundo Wilaya ya Wete, ikiwa ni utekelezaji wa
Ahadi ya Rais wa Zanzibar Ifikapo Juni Umeme uwe tayari katika Kisiwa hicho Fundo
Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha
Na ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment