Habari za Punde

Maonesho ya Tamasha la Busarra Mambo Club Kikundi cha Jagwa Music Chatia Fora Sauti za Busara Zenj.

 
Msanii wa Kikundi cha Music cha Jagwa Music kutoka Tanzania Jackson Kazimoto akitowa burudani kwa wapenzi wake na kuwapagawisha mashabiki wa muziki huo wakati wa onesho lale katika Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar linalofanyika katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar. 





 









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.