RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid
Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Sala ya Eid
Al-Adha, iliyofanyika katika masjid hiyo leo 7-6-2025, akiongozana na Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia kwa Rais) na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora
Zanzibar Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali
na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika leo
7-6-2025 katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali
na Dini ya Kiislamu akifuatilia Hutuba ya Sala ya Eid Al-Adha, ikisomwa na
Sheikh Abdurahaman Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid,
iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
iliyofanyika leo 7-6-2025.
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Zanzibar
wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Al-Adha ikisomwa na Sheikh Abdulrahaman
Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid
Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijuika na Viongozi mbalimbali wa
Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa
Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa
Sala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya Kati.Mkoa wa
Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya
Eid Al-Adha iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa
Kusini Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akibadilishama
mawazo na Viongozi wa Serikali,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha,
iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,
iliyofanyika leo 7-6-2025.
No comments:
Post a Comment