Habari za Punde

Kamati ya kitaifa ya kukabiliana na maafa yakutana kutathmini kipindupindu

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar Juma Ali Juma akifungua mkutano wa siku moja wa Kamati ya Kitaifa ya kukabilaiana na maafa katika ukumbi wa Ofisi ya chanjo Kidongo chekundu Mjini Zanzibar.
 Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dkt. Fadhil Mohd Abdalla akielezea mripuko wa maradhi ya kipindupindu Zanzibar yaliyodumu miezi 11 na kuathiri wananchi 4330 ambapo 68 walifariki.
 Muwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmany akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya kukabiliana na Maafa katika mkutano wa kutathmini maradhi ya Kipindupindu katika ukumbi wa chanjo Kidongochekundu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya kukabiliana na Maafa Zanzibar wakifuatilia mkutano uliozungumzia mripuko wa wa maradhi ya kipindupindu katika ukumbi wa chanjo Kidongochekundu.

Picha na Makame Mshenga-Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.