Habari za Punde

Maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 50 ya kambi za vijana na miaka 40 ya jeshi la kujenga Uchumi Zanzibar (JKU

 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe;Salama Mbarouk, akizungumza na askari wa JKU Pemba, kabla ya uzinduzi wa Zoezi la Ufanyaji wa Usafi katika hospitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 ASKARI wa JKU Pemba wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, wakati alipokuwa akizindua zoezi la ufanyaji usafi katika Hopitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe;Salama Mbarouk Khatib, akifyaka majini ndani ya Hospitali ya Chake Chake, shamrashamra za kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

 ASKARI wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), wakifanya usafi ndani ya Hospitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 ASKARI wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), wakifanya usafi ndani ya Hospitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.