Habari za Punde

Mbunge wa viti maalum CCM azungumza na wazee wa CCM mkoa wa kusini Pemba


 MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa kusini Pemba na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM Faida Mohammed Bakar, akizungumza na wazee wa CCM katika ofisi ya CCM Mkoa wa kusini Pemba, katika ziara yake ya kuwatembelea wazee wa Chama.(PICHA NA BAKARI MUSSA,PEMBA)
 MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa kusini Pemba na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM Faida Mohammed Bakar,akimkabidhi fedha Taslimu Mwenyekiti wa baraza la wazee wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba, Ali Hamad Bakari ikiwa ni zawadi zao binafsi.(PICHA NA BAKARI MUSSA,PEMBA)
MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa kusini Pemba na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM Faida Mohammed Bakar, akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa CCM mkoa wa kusini Pemba .(PICHA NA BAKARI MUSSA,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.