Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya kazi wilayani Kiteto.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na viongozi wa dini baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Engusero wilayani Kiteto waliofunga barabara wakitaka asimame kuwasalimia. Alikuwa kitoka Dodoma kwenda Kiteto kwa ziara ya kazi mkoani Manyara Februari 15, 2017
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Kibaya
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao mjini Kibaya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera tarifa ya mkoa wa Manyara baad ya kusomewa mjini Kibaya katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kiteto mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment