Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Ahudhuria Mkutano wa Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Profesa  Alicia Giron ambaye ni Profesa na Mtafiti wa uchumi katika Chuo Kikuu cha Mexico (UNAM) wakati wa hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mwezeshaji Susan Monahan wakati wa hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai. 
Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Damia Suluhu Hassan akihudhuria Mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai.

 Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Damia Suluhu Hassan akihudhuria Mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)O

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.