Wasanii kutoka Zanzibar wa Kikundi cha Swahili Encounters wakitowa burudani wakati wa maonesho ya Tamasha la Busara yanayofanyika katika viwanja mambo club Ngome Kongwe Zanzibar.
Msanii wa Zanzibar Encounters akitowa burudani wakati wa Tamasha hilo la sauti za busara Zanzibar.
Msanii Mkongwe Zanzibar Matona akiwa na Kikundi chake cha Swahili Encountres wakitowa burudani wakati wa maonesho ya Sauti za Busara Zanzibar.
Mambo ya Maonesho ya Sauti za Busara Zanzibar katika Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.
Mambo ya Kikundi cha Swahili Encounters ndani ya Mambo Club Zanzibar wakupagaishwa wananchi.
Watalii na Wananchi wa Zanzibar wakiwashangilia Wasanii wa Kikundi cha Swahili Encounters Ndani ya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.
Muonekano wa Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar wakati wa burudani ya Maonesho ya Sauti za Busara yanayoendelea kulindima katika viwanja hivyo. kwa burudani mbalimbali za Wasanii kutojka Afrika zaidi ya 400 hutowa burudani mbalimbali.
Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar DJ Yussuf Mahmoud akiwatambulisha waandishi mbalimbali kutoka nje ya Tanzania wakati wa Maonesho ya Tamasha la Busara katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.
Mkurugenzi wa Sauti za Busara Zanzibar DJ Yussuf Mahmoud akizungumza wakati wa maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.
Msanii kutoka Nchini Seychelles Grace Barbe akitowa burudani ya muziki wakati wa maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar katika viwanja vya Mambo Club Zanzibar.
Msanii kutoka Nchini Seychelles Grace Barbe akitowa burudani ya muziki wakati wa maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar katika viwanja vya Mambo Club Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar na Wageni kutowa Nje ya Tanzania wakipata burudani ya muziki ya Afrika katika viwanja vya Mambo Club wakati wa maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar linaloendelea katika viwanja vya forodhani na ngome kongwe Zanzibar.
Msanii kutoka Nchini Seychelles Grace Barbe akiimba wakati wa onesho lake katika viwanja vya mambo club ngome kongwe Zanzibar katika maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar.
Wageni wakiwa makini kufuatilia maonesho ya Muziki wa Kiafrika katika viwanja vya Mambo Club nngome kongwe Zanzibar katika Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar.
Mambo ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar hayo wananchi wakikonga nyoyo zao kwa maonesha mbalimbali ya Wasanii kutoka Afrika na Tanzania.
Mambo ya viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar hayo.
Msanii wa Kikundi cha Wahapahapa kutoka Tanzania akitowa burudani kwa wananchi wanaohudhuria maonesho ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar katika viwanja vya Mambo Club Zanzibar.
Wananchi wakiserebuka na muziki wa Kikundi cha Wahapahapa wakati wakionesha umahiri wao wa muziki wa kiafrika katika maonesho ya Sauti za Busara Zanzibar.
Wananchi wakiserebuka na muziki wa Kikundi cha Wahapahapa wakati wakionesha umahiri wao wa muziki wa kiafrika katika maonesho ya Sauti za Busara Zanzibar.
Kiongozi wa Muziki wa Kikundi cha Wahapahapa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza shoo yake katika jukwaa la mambo club ngome kongwe Zanzibar.
Wasanii kutoka Nchi Ethiopia wa Kikundi cha SamiDan&Zewd Band wakitowa burudani ya muziki wa Ragge wakati wa maonesho ya Tamasha la Busara katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.
Wasanii wa Kikundi cha Sami Dan& Zewd Band kutoka nchini Ethiopia wakilishambulia jukwaa la Sauti za Busara ndani ya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar. wakitowa burudani ya muziki wa Ragge kwa Wananchi na Watalii waliofikas katika viwanja hivyo.
No comments:
Post a Comment