Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.

Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Ole - Kengeja ukiwa umeaza kwa kusafisha eneo hilo kwa kuaza ujenzi huo wa barabara kama inavyoonekana picha burdoza la kampuni inayosimamia ujenzi huo ikifanya usafi kuondoa udogo. 
Wananchi kisiwani Pemba wakishiriki katika zoezi la kuchangia damu kwa hiyari kuokoa maisha ya Wananchi wanaofika katika hospital kupata huduma hiyo ya damu. Ikiwa ni Uzinduzi wa Mradi waHuduma za Uzazi wa Mpango uliofanyika katika Wilaya ya Micheweni Pemba.
Wananchi kisiwani Pemba wakishiriki katika zoezi la kuchangia damu kwa hiyari kuokoa maisha ya Wananchi wanaofika katika hospital kupata huduma hiyo ya damu. Ikiwa ni Uzinduzi wa Mradi waHuduma za Uzazi wa Mpango uliofanyika katika Wilaya ya Micheweni Pemba. (Picha na Abdi Suleiman Pemba.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.