Mbunge wa viti maalum wa CCM mkoa wa kusini Pemba, Faida Moh'd Bakari, akizungumza na kamati ya utekelezaji wilaya ya Chake Chake, juu ya masuala mbali mbali ya uimarishaji wa chama sambamba na kuwakanya vijana wao kutojiingiza katika madawa ya kulevya huko Chake chake Pemba.
Picha na Bakari Mussa Pemba.
No comments:
Post a Comment