Habari za Punde

Dk Shein, Akabidhi Vifaa vya Michezo kwa Majimbo ya Unguja Kushiriki Michuano ya Ligi ya Majimbo ya Unguja Yanayotarajiwa Kuanza terehe 24-3-2017.


Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Vijana Wanamichezo wa kishangilia wakati wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu za Majimbo ya Unguja katika Ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoana wa Mjini Amani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein . akimkabidhi Seti za Jezi Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Salim Turky na Kiongozi wa Timu hiyo Mohammed Maulid






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.