Habari za Punde

Naibu Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo akabidhi vifaa

 Naibu Waziri wa Habari, Utalii , Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bichumu Kombo  Khamis, akikabidhi mashine ya Photo copy  kwa Uongozi wa Jumuiya za Wazazi Wilaya ya Micheweni na Wete katika mkoa wa Kaskazini Pemba
 Naibu Waziri wa Habari , Utalii , Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bichumu Kombo Khamis, akikabidhi vifaa vya Michezo kwa Uongozi wa Vijana wa Mkoa Kaskazini Pemba.

Naibu Waziri wa Habari ,Utalii, Utamaduni na  Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bichumu Kombo  Khamis, akikabidhi mashine za Kompyuta kwa Uongozi wa Wazazi mkoa wa Kusini Pemba.


Picha na Khatib Mjaja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.