DAHALIA
la kituo cha kulelea watoto mayatima cha Alfa Nuraniyya Pujini Chake Chake,
ambapo Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto ilitoa
agizo la kufungwa kituo hicho kutokana na mazingira machafu. Picha na ZUHURA JUMA, PEMBA
WATOTO
wanaoishi katika kitucho cha kulelea watoto yatima kilichopo Mabaoni Chake
Chake walikutwa wakiangalia televisheni wakati wa ziara ya Naibu Waziri Wizara
ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Shadya Mohamed
Suleiman. Picha Na ZUHURA JUMA PEMBA
NAIBU
Waziri Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe.
Shadya Mohamed Suleiman, akipata maelelezo kutoka kwa Mlezi wa watoto mayatima
katika kituo cha Mabaoni Chake Chake Rashid Abdulrahma Yussuf, katikati ni
Afisa Mdhamini wa Wizara hiyo Khadija Khamis Rajab. Picha Na ZUHURA JUMA, PEMBA
NAIBU
Waziri Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe.
Shadya Mohamed Suleiman akipata maelezo mafupi
kwa msimamizi wa ujenzi wa Wizara hiyo unavyoendelea huko Gombani Chake
Chake. Picha Na ZUHURA JUMA, PEMBA
No comments:
Post a Comment