Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na
Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke aliyefika Ikulu kwa ajili ya
Mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah
Cooke Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bhaswar Mukhopadhyay
aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani
(IMF) Bhaswar Mukhopadhyay Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na
Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Bhaswar Mukhopadhyay
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega
mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa
Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi
Liberat Mfumukeko aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa amemshika mkono
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine
Mahiga wakati akijadiliana jambo na
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko mara baada
ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akifurahia jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Augustine Mahiga mara baada ya kumaliza mazungumzo na Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar
es Salaam. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment