MTAKWIMU Mkuu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mayasa Mahafudhi Mwinyi akifungua semina ya siku mbili kwa wazalishaji na
watumiaji wa takwimu, iliofanyika uwanja wa Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WASHIRIKI wa semina
ambao ni wazalishaji na watumiaji wa takwimu kisiwani Pemba, wakisikiliza mada
kwenye semina ilioandaliwa na Afisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali, ili kuwaeleza
washiriki hao umuhimu na faida za takwimu sahihi, semina hiyo iliofayika uwanja
wa Gombani Pemba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
MDHAMINI wa Afisi ya Mtakwimu
Mkuu wa serikali afisi ya Pemba Haroub Ali Massoud, akielezea umuhimu wa takwimu
kwa wajumbe wa semina juu ya umuhimu wa matumizi ya takwimu, semina hiyo
ilifanyika uwanja wa Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE kutoka mtandao wa asasi za kiraia Pemba PACSO
Mohamed Najim akiuliza suali kwenye semina ya umuhimu wa takwimu iliotayarishwa
na Afisi ya Mtakwimu mkuu wa serikali, semina hiyo ya siku mbili imefanyika
uwanja wa Gombani Chakechake kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE kutoka
hospital ya Bah-ja Chakechake Pemba, Mohamed Khamis akiomba ufafanuzi juu ya
ukusanyaji wa takwimu, kwenye semina ilioandaliwa na Afisi ya Mtakwimu mkuu wa
serikali, na kufanyika uwanja wa Gombani Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment