Habari za Punde

Shamrashamra za Kusherehekea Miaka 40 ya CCM Timu ya CCM Yashinda Kombe la Bonaza Baada ya Kuwafunga Wasanii wa Zenj Flava kwa Bao 3-1 kwa Njia ya Penenti Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Mgeni Rasmin katika mchezo wa Bonaza la kuadhimisha miaka 40 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akimkabodho Kombe la Ushindi wa Bonaza hilo Nahodha wa Timu ya CCM Zanzibar Suleiman Haroub Bapee  baada ya kuifunda Timu ya Wasanii wa Zenj Flava kwa penenti 3-1 mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan baada ya kutoka sare ya bao 1-1.


































No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.