Habari za Punde

Ujenzi wa barabara ya Ole - Kengeja ukiendelea

KAZI ya Ujenzi wa barabara ya Ole-Kengeja ikiwa inaendelea kwa hatua za ujenzi wake kwa kiasi kikubwa, pichani buldoza likiondoa udongo  katika eneo mfikiwa ambako barabara hiyo inapita

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.