Waandishi wa habari wa Vyombo mbali Mbali Kisiwani Pemba, wakitembelea Mradi wa uwekaji wa tuta wakiwa juu ya Tuta la kuzuwia maji ya Chumvi yasiingie katika mashamba ya kilimo cha mpunga huku wakipatiwa maelezo na Naibu wa Sheha ya Ndagoni juu ya
mradi huo.
Tuta la kuzuwia maji ya Chumvi katika mashamba ya mpunga kisiwani Pemba kuzuiya maji hayo yasifike katika mashamba hayo.
Walengwa wa kunusuru kaya maskini , ambao pia wamepatiwa ajira ya muda kwa ajili ya kupiga Tuta la kuzuwia maji ya Chumvi yasiingie katika maeneo yao ya Kilimo katika shehia ya Ndagoni wakiwa tayari kuzungunza
na Waandishi wa habari huko Bondeni kwao KAGU.
Mwananchi wa Shehia ya Ndagoni Pemba, Mussa Suleiman Hamad ,akielezea matumainio yake baada ya kukamilika kwa mradi wa Tuta la kuzuwia maji ya chumvi yasiingie katika mashamba yao ambao zaidi ya
wakulima 350 wanatarajiwa kufaidia na mradi huo.(Picha na Bakar Mussa-Pemba.)
No comments:
Post a Comment