Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Ben Bella Wakiangalia Matokeo ya Wanafunzi wa Kidatu cha Nne Skulini Hapo.

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Wanawake Ben Bella wakifuatilia matokeo ya mitihani ya wanafunzi wa kidatu cha nne yaliobandikwa katika ubao wa matangazo skulini hapo. Baada ya kutangazwa matokeo hiyo na Baraza la Mitihani la Taifa juzi.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.