Habari za Punde

Wananchi kijiji cha Mlindo waomba kuwekwa kifusi kwenye barabara yao

 Kazi kubwa ya Ujenzi wa Barabara inayondelea kujengwa na Wananchi wenyewe kwa kutumia Mikono huko katika Kijiji cha  Mlindo ambayo haina mpango wa kuwekewa Kifusi na hivyo wananchi hao kupaza sauti zao kwa Mpiga picha wetu kuiomba Serikali kuwawekea Kifusi ili iweze kupitika kwa nyakati tafauti

Wananchi wa kijiji cha Mlindo, wakishiriki utengenezaji wa Bara bara yao kwa kutumia Mikono, bara bara ambayo imefadhiliwa na Mfuko wa maendeleo ya Jamii Tanzania (Tasaf 3) kupitia ajira za muda kwa Walengwa wa Kaya maskini sana.

Picha na Bakar Mussa Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.