Habari za Punde

Kutana na Mkulima Said Masunga katika shamba lake

 Katika kuitikia wito wa kujiajiri , Mkulima Said Masunga wa Bonde la Mlemele Junguni -Wete Pemba, akiwa katika kazi ya kumwagilia Dawa kwenye shamba lake la Mitungule na Mahindi ili kuhakikisha kilimo hicho hakishambuliwi na wadudu na hatimae aweze kuapat mazao mengi na mazuri.
 kilimo cha Mitungule katika Shamba la Mkulima Said Masunga , kilivyostawi huko katika bonde la Mlemele Junguni -Wete Pemba.

Mke wa bwana Said Masunga, Amina Ndamu, akipalilia Mahindi katika Shamba lao huko,katika Bonde la Mlemele Junguni Pemba.


Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.