Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Pemba Washiriki Katika Mradi wa Tasaf 3 Kwa Uchimbaji wa Bwawa kwa Ajili ya Maji ya Mvua kwa Matumizi ya Kumwagilia Maji Mashambani na Mifugo.

Wananchi Kisiwani Pemba wakishiriki katika Mradi wa Tasaf 3 wa kuchimba bwawa la maji katika Shehia ya Ole Pemba, ili kujiandaa kwa kuhifadhi maji ya mvua wakati wa msimu wa masika ukiaza ili kupata maji hayo kwa matumizi ya Kilimo na mifugo. Bwawa hilo lilikuwepo na kujifukia kwa mchanga. 
Wananchi kisiwani Pemba katika Shehia ya Ole wakishiriki katika Mradi huo wa uchimbaji wa bwawa hilo ukifadhiliwa na Tasaf 3. kwa Wananchi wa Kaya Masikini.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.