Wapenzi wa Timu ya Simba Zanzibar tawi la Amani milingotini Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Timu yao ilipokuwa ikicheza na Timu ya Afrika Lyon, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Timu yao imefanikiwa kuifunga Timu ya Afrika Lyon kwa bao moja lililofungwa mchezao Laudit Mavungo katika dakika ya 57 ya mchezo huo kipindi cha pili. Na kufanikiwa kuingia Robo Fainali ya Michuano hiyo ya Kombe la Shirikisho (TFF). Timu ya Simba imekuwa timu ya kwanza kuingia katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.
MO DEWJI: NIMETUMIA BILIONI 87 KWA AJILI YA SIMBA SC
-
Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji)
amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ame...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment