Habari za Punde

Waziri Mkuu Aendelea na Ziara Yake Wilaya ya Simanjiro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia kwaya ya Wamasai wa Simanjiro wakati alipowasili kwenye uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjairo mjini Orkesimet Februari 16, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mjini Orkesimet, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Simanjiro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa  zana za  asili za kabila la wamasai  wakati aliposimikwa kuwa Mzee wa Simanjiro na kupewa jina la Ole Majaliwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mji Orkesimet

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Simanjiro,  James Ole Milya kwenye Ikulu Ndogo ya Orkesimet  wilayani Simanjiro  Februari 16, 2017. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.