Habari za Punde

Zoezi la Uhakiki wa Wafanyakazi Wastafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Upande wa Zanzibar Lafanyika katika Viwanja vya Wizara ya Fedha Zanzibar

Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Stanslaus Mpempe akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati wa zoezi la Uhakiki wa Wafanyakazi Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa upande wa Zanzibar zoezi hilo limefanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha Zanzibar. 
Mmoja kati ya Wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania akipelekwa katika chumba cha Uhakiki Zoezi linaloendele  Wizara ya Fedha Zanzibar.
Baadhi ya Wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania wakiwa katika lango la Wizara ya Fedha Zanzibar kwa ajili ya kufanya uhakiki unaoendelea Wizarani hapo.
Baadhi ya Wahakiki wakiendelea na Kazi ya Uhakiki wa Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Uhakiki Zoezi linaloendele  Wizara ya Fedha Zanzibar.
Mhakiki wa Wastaafu Blandi Shija akimfanyia Uhakiki mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zoezi linaloendele  Wizara ya Fedha Zanzibar.
Mhakiki wa Wastaafu Mary akiendelea kufanya kazi ya Uhakiki wa Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Uhakiki Zoezi linaloendele  Wizara ya Fedha Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.