Habari za Punde

Biashara ya Mitumba Wete Pemba

KUKOSEKANA kwa maeneo maalumu ya kuuzia biashara za nguo za mitumba katika maeneo ya Wete, pichani wafanya biashara wa nguo hizo wakifanya biashara katika maeneo yasiyokuwa rasmi katika mtaa wa Muembe Kigongo Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.