Habari za Punde

Bangalow Ndani ya Bahari Forodhani ni Kivutio Cha Utalii Zanzibar.

Moja ya Kivutio kwa Wananchi wa Zanzibar na wageni wanaotembelea katika mji mkongwe wa katika eneo la bahari ya forodhani hivutiwa na nyumba zikiwa zinaelea katika pwani hiyo hutowa hutuma ya Kitalii na mgahawa kwa wananchi wanaofika katika nyumba hizo kwa kupata huduma mbalimbali za vyakula na vinywaji.Kama zinavyoonekana katika eneo hilo la pwani ya forodhani zikielea.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.