Habari za Punde

Uzinduzi wa Jumuiya ya Kushughulikia Wagonjwa na Ustawi wa Jamii Zanzibar Kesho

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kushughulikia Wagonjwa na Ustawi wa Jamii Zanzibar Ndg Abuu Bobeya akizungumza na Wanachama wa Taasisi hiyo kuhusiana na maandalizi ya Uzinduzi huo wa Jumuiya yao na malengo yao kwa Jamii na Wanachama wake, mkutano huo umefanyika katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar, Jumuiya hiyo itatowa nafasi kwa Wanachame wake kwenda Makka Kuhiijj kwa kujichangia kidogokidogo. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika kesho katika Mskiliti wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar baada ya Sala ya Alasiri.
Wanachama wa Taasisi hiyo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati wakati akitowa taarifa ya maandalizi ya uzinduzi wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.