Habari za Punde

Kikundi cha Ushirika cha Muwezeshaji Ni Mungu Cha Wanawake Kisiwani Pemba Waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba Bi Asha Khamis Omar akizungumza na Wanakikundi cha Ushirika cha Muwezeshaji ni Mungu cha Chakechake Pemba akizungumza na Wanawake hao wakati wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa tarehe 8-3-2017 Duniani kote. kwa kufanya mkutano wa kukumbushana majukumu ya Maendeleo na kupiga Vita Vitendo vya Uzalilishaji wa Wanawake na Watoto. 
Wanachama wa Kikundi cha Wanawake cha Muwezashaji ni Mungu cha UWT wakimsikiliza mgeni rasmin wakati wa shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa na Wanawake kupinga vitendo vya Uzalilishaji waq kijinsia. 
Wanachama wa Kikundi cha Wanawake cha Muwezashaji ni Mungu cha UWT wakimsikiliza mgeni rasmin wakati wa shamrashamra za kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa na Wanawake kupinga vitendo vya Uzalilishaji wa kijinsia. 
Picha na Said Abdurahaman Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.