Habari za Punde

Matukio ya Picha Mtaani Zenj.

Wananchi wa mji wa Unguja wakiwa katika harakati za kila siku katika mitaa mbali mbali ya Unguja kama walivyokutwa na camera yetu wakikata barabara katika mitaa ya michezani jirani na kituo cha daladala. Sehemu hii inahitaji kuwekwa alama ya zebra kutowa fursa ya kuvuka barabara kwa usalama zaidi.   
Askari wa Usalama Barabarani Zanzibar akiwa katika zoezi la kukagua vyombo vya moto katika mitaa ya Zanzibar kama alivyokutwa na camera yetu akikagua moja chombo hicho katika barabara ya kisiwandui.
Bustani ya Jamuhuri garden weles hutumika kwa matumizi mbalimbali kwa wananchi wanaofika katika bustani hiyo kwa ajili ya mapumziko na kujisomea kwa group baadhi ya wanafunzi wa vyuo na skuli. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.