Habari za Punde

Mkutano wa kuzifanyia mapitio sheria za kazi na usalama kazini,wafanyika Pemba

 WASHIRIKI wa mkutano wa kuzifanyia mapitio sheria za kazi na usalama kazini, zote za mwaka 2005, wakiangalia sheria hizo, kwenye mkutano ulioandaliwa na Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar, na kufanyika skuli ya sekondari Micheweni Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MWANASHERIA kutoka Tume ya Kurekebisha sheria Zanzibar, Khamis Mwita Khamis akiwasilisha marekebisho ya sheria ya usalama kazini, kwa wadau wa sheria wa wilaya ya Micheweni kisiwani Pemba, wakati tume hiyo ilipokutana na wajumbe hao, ili kukusanya maoni yao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 DAKTARI wa hospitali ya Wete Mzee Saleh Abdalla, akiomba ufafanuzi wa jambo, wakati akichangia mapendekezo ya sheria za usalama kazini, kwa wajumbe wa Tume ya kurekebisha sheria za usalama kazini na ile ya fidia zote za mwaka 2005, mkutano huo ulifanyika ukumbi wa Jamhuri, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
 AFISA kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Said Mbaruok akichangia suala la fidia kwa wanaopata athari ya kimazingira, kwenye mkutano wa kutoa mapendekezo ya sheria za kazi na fidia, ulioandaliwa na Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar na kufanyika ukumbi wa Jamhuri Wete, (Picha na Haji Nassor,
 AFISA kutoka Idara ya Mazingira wilaya ya Micheweni Pemba, Ali Abdi Mohamed akichangia suala la fidia kwa wanaopata ajali kazini, kwenye mkutano wa kutoa mapendekezo ya sheria za kazi na fidia, ulioandaliwa na Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar na kufanyika skuli ya sekondari ya Micheweni, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.