Habari za Punde

Mafunzo ya siku moja kwa vikundi vya upandaji miti

 KATIBU wa Jumuia ya Sanaa na elimu ya ukimwi na mazingira ya Kisiwa panza ‘JSEUMA’ wilaya ya Mkoani,  Juma Ali Mati, akiwasilisha kazi za vikundi, kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo wanavikundi vya upandaji miti, yaliofanyika Idara ya Mazingira Pemba, (Picha na Zuhura Juma, Pemba).  
 AFISA Mdhamini wizara ya maji, ardhi, nishati na Mazingira Pemba Juma Bakar Alawi, akifungua mafunzo ya siku moja kwa vikundi vya upandaji miti, mafunzo yaliofanyika Idara ya Mazingira Machomane Chakechake kisiwani Pemba, (Picha na Zuhura Juma, Pemba).

WANAVIKUNDI vya upandaji miti kutoka maeneo kadhaa kisiwani Pemba, wakiwa kwenye kazi za vikundi, kwenye mkutano wa kuwajengea uwezo, ulioandaliwa na Idara ya Mazingira, na kufika ofisini kwao Machomane Chakechake, Pemba (Picha na Zuhura Juma, Pemba).No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.