Habari za Punde

Michezo wa Majeshi Mchezo wa Mpira swa Kikapu Kati ya SMZ na Ngome Uliofanyika Maisara Uwanja wa Nyuki Timu ya Ngome Imeshinda kwa Vikapu 67 - 47

Mchezaji wa Timu ya Ngome akimpita mchezaji wa Timu ya SMZ wakati wa mchezo wa Mpira wa Kikapu Wanawake uliofanyika katika Uwanja wa Nyuki Maisara Zanzibar. Timu ya Ngome imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 67 - 47.
 






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.